Katika kipindi ambacho P FUNKY ilikua humwambii kitu kuhusu hip hop mara paaa mzee nguza na gitaa lake huyo anataka kurekodi na vijana wa kileo... Tena remix ya wimbo kama ule? ..P akaweka bangi pembeni na kupiga kazi . . Ulamaa akaambiwa atulize akili asiharibu hadhi ya mzee Nguza.. aagh huu mziki kina P waliufanya kwa mapenzi bana.. sikiliza biti hapo sikiliza gitaa msikilize ulamaa Solo anavyoenda na gitaa..the old good days