Heee wanachakachua nguvu za kiume? hebu fafanua
Tutasema nguvu iwapo Sina virutubisho na cell zake...siku hizi janga la taifa punyeto, novida na kitu chipsi yai unategemea kuna virutubisho hapo.??? Michepuko kama foleni ya chalinze to darSijakusoma binti mzuri
Ila kwa wengi, vyakula ni shida. Punyeto zisizo fuata masharti ya afya ni htr sanaaa
Bao 3? Zote hizo za nini? Unashindana na k? Itakutoa knock out! Piga moja ndefu yenye akili hata timu pinzani itakuwa hoi na majibu hakuna!
Mmmh, hapo kwenye stress sidhani, mi nikiwa na stress ndio namimina ile mbaya.Kikubwa wanaume kinachowaliza ni stress, punyeto, msosi, hakuna mazoezi ya pumzi na misuli+ vyakula.
Ni aibu na fedheha mwanaume kushindwa kumfikisha na kumkuna mwanamke pale anapopataka
Hat umpe pesa kiasi gani na upendo bila ile utakupenda kiunafiki tu.
Hivi unajua sio vyakula pekee vinasababisha? sababu ziko chungu nzima naona mmebase kwenye vyakula kwahiyo mnataka hivyo vyakula mle peke yenu? mbali na vyakula kuna stress za maisha zinaleta msongo wa mawazo na kupunguza uwezo wa mwanaume,kufanya kazi muda mrefu bila kupata muda kupumzika nayo ni sababu pia,kuangalia picha za uchi hizo zote zinapelekea kupungua kwa nguvu za kiumeTutasema nguvu iwapo Sina virutubisho na cell zake...siku hizi janga la taifa punyeto, novida na kitu chipsi yai unategemea kuna virutubisho hapo.??? Michepuko kama foleni ya chalinze to dar
Vyakula vya nguvu nyie mwasema weka mbali na watoto vibao vya waganga vimeshamir Wanaongeza nguvu za kiume....
Kula misosi ya nguvu na mazoezi malalamiko yapungue
Uhusiano kati ya nguvu za kiume na vibamia ni upi?Mbona ujawagusia na wenye vibamia wafanyaje???
Uhusiano kati ya nguvu za kiume na vibamia ni upi?
Suala la kumridhisha mwanamke linategemeana na yeye mwenyewe siyo mwanaume peke yake mwanaume anaweza kujitahidi lakini kumbe mwanamke hisia zake haziko hapo,au naye amezoea punyeto hivyo hahisi chochote hapo utasema ni tatizo la mwanaume? na mwanamke anaweza kuridhika hata kwa bao moja la dk 10 kama umemfanyia maandalizi ya kutoshaKikubwa wanaume kinachowaliza ni stress, punyeto, msosi, hakuna mazoezi ya pumzi na misuli+ vyakula.
Ni aibu na fedheha mwanaume kushindwa kumfikisha na kumkuna mwanamke pale anapopataka
Hat umpe pesa kiasi gani na upendo bila ile utakupenda kiunafiki tu.
Punyeto zinazofuata mashart ya afy zikoje?Ila kwa wengi, vyakula ni shida. Punyeto zisizo fuata masharti ya afya ni htr sanaaa
Suala la kumridhisha mwanamke linategemeana na yeye mwenyewe siyo mwanaume peke yake mwanaume anaweza kujitahidi lakini kumbe mwanamke hisia zake haziko hapo,au naye amezoea punyeto hivyo hahisi chochote hapo utasema ni tatizo la mwanaume? na mwanamke anaweza kuridhika hata kwa bao moja la dk 10 kama umemfanyia maandalizi ya kutosha
Punyeto zinazofuata mashart ya afy zikoje?
Hivi unajua sio vyakula pekee vinasababisha? sababu ziko chungu nzima naona mmebase kwenye vyakula kwahiyo mnataka hivyo vyakula mle peke yenu? mbali na vyakula kuna stress za maisha zinaleta msongo wa mawazo na kupunguza uwezo wa mwanaume,kufanya kazi muda mrefu bila kupata muda kupumzika nayo ni sababu pia,kuangalia picha za uchi hizo zote zinapelekea kupungua kwa nguvu za kiume
Ni kweli zipo sababu nyingi kama ulivyosema na nilizotaja mm kweli mwanamke aweza ridhika kwa bao moja ila wachache ndo waweza kwenda masafa ya muda mrefu pumzi hakuna.
Mapenzi ni wote kujituma kwenye nafasi zetu...
Bao 3? Zote hizo za nini? Unashindana na k? Itakutoa knock out! Piga moja ndefu yenye akili hata timu pinzani itakuwa hoi na majibu hakuna!