Nguvu za kiume na uongo uliojificha

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Sehemu nyingi za Tanzania especiallly Dar es Salaam nimeona sana hii kitu, wakinamama wanauza vipande vya mihogo mibichi, vipande vya nazi na pakti ya karanga mbichi, pale maskani yangu Temeke kuna mama alikua anauza sana mida ya mchana.

Nikauliza je vinasaidia nini vitu hivyo? Wa kwanza akasema vinaongeza nguvu za kiume wa pili nae akasema hivyo hivyo.

Lakini kuna mzee mmoja anaongea sana kwenye hizi maskani zetu akaniambiaa. Hivyo vitu havina maana yoyote kwenye mapenzi zaidi ya kuongeza manii tu lakini si nguvu za kiume, nguvu za kiume huwa ni natural na inategemea na mood na mentality yako umeiandaaje kwenye mchezo ndo mana hata show zinatofautiana.

Kuna siku utaperfom sana alafu kuna siku itakuwa kawaida sana.Wengi wameharibika kisaikolojia wakiamini hawana nguvu za kiume. Hivi unafanyaje mapenzi huku unawaza kodi ya nyumba? Au unawaza madeni unayodaiwa!? Nk.

Na kuna wale ambao wamepania sana uroda kiasi kwamba kashafanya mapenzi na huyo mwanamke kichwani mwake hata kabla hajamvua nguo hawa ndo wale mara tatu tu kashakojoa na wengine huwa inaishia kwenye kuhangaika kuchomeka anaishia kumwaga kwenye mapaja ya mwanamke.

Ingawa kuna wengine ishawatokea wanaingia na mwanamke mpaka ndani na wanataka kuanza tu kitu hakisimami, hawa ndo wale wanahisi kurogwa.

Ushawahi kuona wale wanaume wanaojisifia show zao kali yani wana nguvu lakini in reality hamna lolote. Ndipo nikaja kujua mapenzi pia yanahitaj muda na maandalizi kama vitu vingne. Unatakiwa kuwa na right mentality, psychological uwe sawa hapo utafurahia tendo nk.

Ingawa ni kweli kuna watu hawana kweli nguvu za kiume na wakati mwingine kuna factors nyingi zinazosababisha mambo haya kama vyakula, vinywaji, stresss, punyeto ikizidi sana, nk.

Kwahiyo mnaokula mihogo mibichi na mikaranga changanya na nazi endeleeni kula muongeze manii (shahawa).
 
Poa, vp kuhusu juic ya energy ina msaada wa kuongeza nguvu?
KWA MTAZAMO WAKO.
 
"Nguvu za kiume kila kona"
Nguvu zipo, tatizo watu wengi wanataka kupiga show za kukomoa. Yaani kitu dakika 90 isianguke, atupie mara 3 mfululizo
 
Mi sajawai amini vyote hivyo mihogo,nazi,juisi ya tende, butululu wala mundende na hiyo mi energy drink
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…