Nguvu za Kike na za Kiume

Saasa ukiwa na mkwanja mrefu,then kwenye gemu pumzi za kuku dume...hapo inakuwaje?
 
Hao ni mkwanja tu hakuna cha nguvu wala nini
 
:sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad:
 
mmmmmmh,pesa ata BoT inayo mpaka zimeliwa na mafisadi
 
Teh! hivi nimepitiwa huyu dada ndo yule niliye kuwa natoka nae out.
 
mmmmmmh,pesa ata BoT inayo mpaka zimeliwa na mafisadi

hahahaha! mwanaume hata uwe na sura mbaya kama remi ongara ilmradi una pesa utajikamatia mzigo wowote unaotaka. chezea fweza wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…