Binafsi nawakubali sana wanawake,ni viumbe wa pekee sana Mungu aliumba katika uso wa dunia,kwa sababu zifuatazo
1.Ni viumbe wanaoleta furaha na aman dunian,huwa najiuliza hiv ingekuaje km dunia ingekua na wanaume tu?isingekalika
2.Ni watu wepesi kuchukua maamuz katika jambo lolote,sehem kubwa ya maamuz yao hutoa matokeo mazuri(kampun nyng zinazofanya vzr huko usa zina viongoz weng wanawake kuliko zile za wanaume weng)
3.Wana akili nyng kuliko wanaume,ila wanaume wamekua wakiwakandamiza,hawawapi nafas ila ukweli wana akili nyng,mfano biblia inasema Mungu atampa adam msaidiz,ktk akili ya kawaida msaidiz lazma awe na akili kuliko bosi,fund umeme hawez kua na msaidiz asiejua kuliko yeye,akshndwa yule msaidiz asaidie,ndio lengo la Mungu,kuleta mtu mwenye akili na maamuz ya haraka kuliko mwanaume
3.Wanawake n wazur sana kwenye management kwenye jambo lolote kuliko wanaume,iwe nyumban,ofisin nk,wako vizuri
4.Wanawake ni watu wenye iman kubwa,wanaamin watu,vitu,mfano,unafika mahal,unatafta mwanamke,hakujui ila anakubali kwenda na ww akiamin hutamdhuru,sio rahsi kwa mwanaume kwenda mahali na mtu asiemfaham
Haya ni maoni yangu jinsi navyowajua wanawake,kama una jambo lolote la kuwasifia wanawake weka hapa and vice versa is 100%.