Nguvu ya buku

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Bila shaka umeshasikia mtu kaua mtu kwa kuwa anamdai mtu buku au hela chini ya buku. Wengine hata kufikia hatua ya kuua watoto wao kwa makosa yanayohusika na kupoteza kiwango hicho kidogo cha fedha.

Hata hivyo, hii ilitosha kutuambia nguvu ya buku tunayoijua ni tofauti na nguvu ya buku mtaani. Kama wewe unapata 10k kwa siku kwako buku sio sawa na anayepata 3k kwa siku.

Nauli ya mwendokasi inacheza humohumo kwenye buku.

Nawasilisha
 
Bongo joto ni kali sana, kiasi kwamba ukiweka buku mfukoni ukitoa unakuta nyerere kavua shati.
 
Siku hizi mtu akishiba zake makande , chap analeta uzi !
 
Nilishatoa buku nione nguvu kumbe hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…