Moghe Member Joined Feb 7, 2013 Posts 61 Reaction score 23 Aug 17, 2013 #1 Ninaomba kujua sehem au mtu anaefungua na kuuza nguo za mitumba kwa bei rahis hapa Dsm.
S sister g Member Joined Mar 30, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Apr 1, 2015 #2 Moghe said: Ninaomba kujua sehem au mtu anaefungua na kuuza nguo za mitumba kwa bei rahis hapa Dsm. Click to expand... Mimi ninauzo kama unataka za kwenda kuuza ninazo sket na blauz skinjeans, shat za like, ukihitaji Nipigie 0652651853
Moghe said: Ninaomba kujua sehem au mtu anaefungua na kuuza nguo za mitumba kwa bei rahis hapa Dsm. Click to expand... Mimi ninauzo kama unataka za kwenda kuuza ninazo sket na blauz skinjeans, shat za like, ukihitaji Nipigie 0652651853
M momtwo Member Joined Oct 16, 2014 Posts 21 Reaction score 0 Apr 1, 2015 #3 Unaitaji kwa bei gani? Mimi nafunguaga magauni Na nina mzigo umebaki kidogo kama unaitaji tiwasiliane
Unaitaji kwa bei gani? Mimi nafunguaga magauni Na nina mzigo umebaki kidogo kama unaitaji tiwasiliane