Nguo za kubana zinapunguza nguvu za kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguo za kubana zinapunguza nguvu za kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by LEGE, Dec 9, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi kuna hii ki2 naomba 2shee kama inaukweli au laa.

  Yasemekana kuwa uvaaji wa nguo za ndan za kubana sana kwa wanaume husababisha matatizo ya nguv za kiume pamoja na tatizo la uzalishwaji wa mbegu za kiume.

  Yasemekana kuwa uzalishwaji wa mbegu za kiume hufanyika kwa ufanis zaidi ktk kiwango maalum cha joto,ndiyo mana kuna mda utakuta korodan zimesinyaa,hapa huwa zinajibana mwilin ili ziweze pata joto vizur huu huwa msim wa barid.Na wakati wa joto huwa zinatepeta na kujiachia automatic.

  Inasemekana kuwa mbegu za kiume huwa zinazalishwa vizur ktk hali ya ubarid ,hivyo kama utakuwa unavaa boxer,bukta au taiti mda wote bas uzalishwaji huu huwa duni sana kwa kuwa mda wote korodan utakuwa umezibana na mwili hata wkt wa joto,hivyokupelekea kutozalishwa kwa mbegu hizo.

  Vilevile kuibana **** mda wote hupelekea misuli ya **** kulegea na kuwa cyo imara tena.
  Mda mwingine **** inataka kusimama lkn kwakuwa umeibana sana hupelekea misuli ya **** kuishiwa uimara wake na kulegea.

  Je ni kwel twaweza hangaika kutafuta mchawi nani na huku twajiloga wenyewe??
  Je kuna ukwel juu ya haya??

  Karibun wanajamv wenye utaalam zaid watujuze.

  ...........Nawasilisha............
   
 2. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  DUUUUUUuuuu!!!! MKUBWA UMEULIZA DIRECT ZAID BT any ways tusubiri wataalam
   
 3. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimeshaisikia hii kitu muda mrefu, wataalamu wa anatomy and physiology karibuni kutupa shule.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ni kweli...
   
 5. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  models... lol, wale wabongo flava na vitshirt vyao kama viblausi kwahiyo hamna kitu pale?
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mods! LEGE & RDI,Unganisha hizi thread na iwe pamoja kwn ngoma hp ni droo! Na inaweza ikawa watu wa enzi hizo kwa Adam na Hawa walikuwa sahihi kimavazi sana!
   
Loading...