Nguo kwa bei ya Jumla

Nguo kwa bei ya Jumla

cheer

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
35
Reaction score
4
Habari wandugu,kama unahitaji mashati ya kiume na nguo za kike kwa bei ya jumla unaweza kunipigia number 0769337024.Na nitakuletea sample popote ulipo dar.Mashati ni mazuri na hayapo mengi sokoni.
Cheers
 
Tafadhali hebu boresha basi tangazo lako ,mfano weka bei, aina gana za nguo na muhimu zaidi picha ....
Habari wandugu,kama unahitaji mashati ya kiume na nguo za kike kwa bei ya jumla unaweza kunipigia number 0769337024.Na nitakuletea sample popote ulipo dar.Mashati ni mazuri na hayapo mengi sokoni.
Cheers
 
Km kweli uko serious na biashara utalitendea haki tangazo lako otherwise karibu kweny ulimwengu wa biashara
 
Weka picha na bei tuone ndio tuweke vocha ya kukutafuta
 
mwipande uko wapi nikutafute,niko serious ati.

Ungekuwa uko serious ungelikamilisha tangazo lako kwa kuweka bei zote mbili jumla na rejareja na pia ungeweka picha ili mtu akiwa interested akutafute moja kwa moja mfanye biashara.Sasa we unaweka biashara af unataka wateja ndio wakuelekeze nn cha kufanya
 
besti boresha kidogo tangazo lako kwa kuweka picha za hizo bidhaa zako , bei zake na kuweka contact jinis ya kukupata kiurahisi samahani kama utaboreka hapa
Habari wandugu,kama unahitaji mashati ya kiume na nguo za kike kwa bei ya jumla unaweza kunipigia number 0769337024.Na nitakuletea sample popote ulipo dar.Mashati ni mazuri na hayapo mengi sokoni.
Cheers
 
Ha ha ha,muuzaji anapombembelezwa na costumer.
 
Back
Top Bottom