Ngozi inanisumbua

Ngozi inanisumbua

Maker og

Member
Joined
Aug 30, 2019
Posts
28
Reaction score
36
Habari za majukumu ndugu zangu. Ni matumaini yangu mko bukheri kabisa.
Kama kichwa kinavojieleza nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo nadhani ni tangu nilipojitambua.
Kuna kipindi nikitaka kukimbia au kufanya kazi itayosababisha matumizi ya nguvu na hatimaye kutokwa jasho mwili wangu huanza kuwasha. Muwasho wa kutosha tu.
Lakini vile vile nikioga na kujisugua hali huwa si nzuri kwani mwili wangu huwasha kwa muda. Hii ni mbaya kwani nikijisugua zaidi na mwili huwasha zaidi.
Ningeomba msaada kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na hata ufumbuzi wa tatizo hili.
 
Umesha wahi kwenda kupima hospitali maradhi ya mzio aka allergy?Na ukimaliaza kuoga huw aunajipakaa mafuta gani mwilini mwako?
 
mara nying n mafuta ya kawaida kama bod lux, baby care yaani mafuta ya ghalama za chini haya.
 
Habari za majukumu ndugu zangu. Ni matumaini yangu mko bukheri kabisa.
Kama kichwa kinavojieleza nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo nadhani ni tangu nilipojitambua.
Kuna kipindi nikitaka kukimbia au kufanya kazi itayosababisha matumizi ya nguvu na hatimaye kutokwa jasho mwili wangu huanza kuwasha. Muwasho wa kutosha tu.
Lakini vile vile nikioga na kujisugua hali huwa si nzuri kwani mwili wangu huwasha kwa muda. Hii ni mbaya kwani nikijisugua zaidi na mwili huwasha zaidi.
Ningeomba msaada kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na hata ufumbuzi wa tatizo hili.
Pole sana
Jaribu kutafuta hii sabuni inasaidia sana magonjwa ya ngozi au wasiliana nami
IMG-20190916-WA0066.jpeg
 
Back
Top Bottom