Ngorongoro na hatima ya Maasai

Kipenda roho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
488
Reaction score
940
Nchi hii ni ngumu sana kwakweli ! Hivi leo hii ndio CCM na serikali yake dhalimu iliyopo madarakani kwa kupora uchaguzi wa 2020 ndio watuingize kwenye mjadala ngorongoro na hatima ya wamasai?

Hivi huyu Waziri Mkuu anakuwaje muongo kiasi hiki eti Ngorongo na Loliondo kuko shwari ilihali tunaambiwa askari kachomwa mshale na amekufa?

Hivi kweli viongozi wa nchi kweli hawajifunzi nchi za jirani kama Rwanda Burundi na DRC walivyo tumbukia machafukoni kuotokana na kupuuzia malalamiko ya wananchi na uporaji wa ardhi na rasilimali ?

Hivi kweli tuamini royo tuwa ni kwa ajili ya kuitangaza nchi na sio kuiweka nchi sokoni tayari kwa mnada ? Hivi kweli haya mambo ya kuuza wanyama hai nje ndio uendelezani wa utalii nchini [emoji15] ?

Wamasai wamekaa huko ngorongoro na loliondo kwa dahari ya miaka leo ndio mmseme sijui nini nini !!! Nature has it that who survive fits ! This country has so many national parks and game reserves what is the big deal with Ngorongoro warranting evacuation of a tribe ?

Huko mnawapeleka handeni likija lizungu fulani likagundua madini si ndio mtawatoa tena ? The country has completely lost focus imebaki upigaji mkubwa ! Eti kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ! Shame !!! Rais wa nchi anatamka hivi bila haya !!! We are doomed !

Hatima ya wamasai ni kuwa watangataji milele ! Selikali ya CCM imeawaamulia ! Ngorongoro inapigwa bei kwa mwarabu.

Tujadili
 
Mungu Ibariki Tanzania
 
What is your advice?

Sent using Jamii Forums mobile app

Lots of noice by as many people and Human Rights dedenders must be aired to deter the goverment of Tanzania from executing its Masai evacuation ! It is immoral and above all it has no benefit as perceived but rather benefitting a handful of greedy politicians and technocrats !
 
The problem with ngorongoro kuna expansion ya population ya watu, mifugo, makazi na miundombinu mingine ya kijamii hali ambayo inaenda kutishia long-term existence ya hiyo widlife conservation area. It may be worse if maasai from the Kenyan side nao wata storm in na makundi yao ya mifugo. It may be difficulty kujua huyu ni masai from kenya or Tanzania. The move by the government kuwahamishia handeni provided wamejengewa makazi, kupewa maeneno ya malisho ya mifugo na miundombinu ya mifugo kama mabwawa, majosho etc. ni ya manufaa zaidi kwao na kwa maslahi mapana ya taifa kwenye eneo la uhifadhi wa rasilimali zinazoliingizia taifa mapato.​
 

The problem is the maasai community is being evacuated and this area is surely given / sold to arabs !! Take my words ! Serikali haina nia njema hata kidigo. Besides wamasai wame co-exist na wild life huko for many years ! All natural resources are under pressure anyways, the rapid population growth triggered by relative improvement in medicare and life standards in the country will definately pressure each and every resource. Serikali kwa hiyo itafanya evacuations ngapi ? Kupeleka watu wapi ?

My advice to the givernment if at all has good intension ingekua ni kupanga mikakati bora ya kuhakikisha mlipuko wa population maeneo hayo unadhibitiwa ! The government should come with a set of policies geared to educating the maasai and indeed other communities into slowing population including the use if contraceptives and family planning programs rather than enragging the communities with controvertial relocations.

People are fast losing trust with their government ! State machinery introdusing havoc into social fabric is counter productive in the long run ! Secretive deals by the government selling / leasing large swaths of land is dangerous and may cause civil disorders or even wars unnecessarily.
 
Ila katiba inasema ardhi ni mali ya serikali, kama serikali inataka kufanya kitu kwenye eneo lolote, ni kutoa taarifa na wahusika kupewa sehemu nyingine. La maana ni kubadili katiba. Angalia Kenya, ardhi ni mali ya wananchi. Ni kwa makubaliano maalumu na yenye mshiko ndio mtu ahame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…