Ngono sasa marufuku Blogger

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,692
Reaction score
2,581
Kampuni ya Google inayomiliki website ya Blogger imepiga marufuku picha na video za ngono kuwekwa hadharani katika blog za watu.
======================


Chanzo: theverge
 
Nancy ajiandae kurudi kujijini kwao!
 
sasa tutaangalia wapi mik*ndu ya majimama?
 
Daaaaah tumekwisha sasa!!kama rahatupu na rahauchi zote chaliii mmmmh tutapata wapo chimbo jingine sasa wajamen!!
 
Wafungue websites zao sasa badala ya kutelezea kwenye haya mablogu lol..
 
Hahahahs wapi Nancy Mitisa wa Rahatupu blog...


Hivi hii blog ina matangazo kweli?
 
miaka yote walikuwa wapi hadi vijana wetu wameharibikiwa sana. anyway niwapongeze ingawa mmechelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…