jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,720
Kama umekuwa mfuatiliaji wa kampeni zilizopita za mwaka 2005 na pia 2010 utagundua kuwa CCM walikuwa na Mikoa au anda ambazo zinajulikana kama 'NGOME' zao. mfano; Dodoma, Tanga n.k Lakini kwa mwaka huu hali tofauti inatokea kuhusu ngome za CCM, kwenye ngome zao hizi watu wengi hawahudhurii tena campaign za CCM kwa hiari na furaha nikimaanisha kuwa asilimia 50+ ya watu huletwa na usafiri mbalimbali uliokodiwa na chama na hii hufanywa mikoa karibu yote Tanzania wakati wa campaign zao hivyo basi inakuwa ni vigumu kujua ni wapi hasa ni ngome yao mwaka huu?
wapi hasa watu wengi zaidi watahudhuria kampeni kwa 'hiari' yao wenyewe?
WAPI HASA NGOME YAO KWA UCHAGUZI HUU?
Nawasilisha!
wapi hasa watu wengi zaidi watahudhuria kampeni kwa 'hiari' yao wenyewe?
WAPI HASA NGOME YAO KWA UCHAGUZI HUU?
Nawasilisha!