Mtumie ujumbe Bi Helena Bi Lion(Bisimba) aitishe mkutano wa waandishi wa habari!Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
Kwani hapo hakuna wataalamu wa kuchoma nyama?.
Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
Mtumie ujumbe Bi Helena Bi Lion(Bisimba) aitishe mkutano wa waandishi wa habari!
Bisimba hawezi kuwatetea kwa sababu hawana uhusiano na Chadema au Kanda ya Kaskazini.
Ha ha haaaaa, asante mdau!!!Bisimba hawezi kuwatetea kwa sababu hawana uhusiano na Chadema au Kanda ya Kaskazini.
Sambaza taarifa hii kwenye vyombo vingine vya habari, hasa juu ya watanzania wenye asili ya Rwanda. watu wanapaswa kuelewa kuwa target ni wahamiaji haramu sio tu watu wenye asili ya mikoa jirani, tukifanya hivyo Tanzania hapa watabaki wagogo tu ambao kwao katikati! kila kabila litajikuta lina 'kwao'Raia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama
Ni ukatiri kwa binadamu na wanyamA kuwa ni wa Rwanda? Juzi kwenye mapori ya burigi wale maaskari wa Burigi game Reserves walipokuwa wanapiga ng'ombe wa wakazi wa maeneo ya Biharamulo mbona hukuja hapa kuandika kama ni ukatili.Sasa leo kwa kuwa ni ng'ombe wa Wanyarwanda wenzako umekuwa ukatili, shame on youRaia wa Tanzania wenye asili ya Rwanda (wenye uraia) wamekamatwa na wanahojiwa kwenye kituo cha polisi Benaco. Ngombe wao walikamatwa, ni siku ya nne sasa, wakafungiwa kwenye mnada wa Kafuha, Ngara. Mnada wa Kafuha umejengwa kwa matofari, na ngombe hawajala majani kwa siku ya nne wala kunywa maji. Baadhi ya ngombe walitoroka na waliporudi vijijini, wamekatwakatwa miguu na wenyeji, wamelala wanakufa kwa kuvuja damu. Najua humu ndani watu watasema, wauwawe tuu! Wateswe tu! Lakini huu ni ukatiri ! kwa binadamu na wanyama