Habari wakuu ,natumahi ni wazima wa afya . Kuna ndugu yangu kanipatia tenda ya kutafuta ng'ombe ,ambao wakikaa ndani ya miezi 6 au 12 wanaweza anza kuzaa .Anataka afanye mradi wa ufugaji .Lakini pia je ni mkoa gani ambao naweza kupata ng'ombe kwa gharama nafuu. maana bado anamtaji mdogo. KARIBUNI TUSHIRIKISHANE