C Chamaroa Member Joined Oct 19, 2015 Posts 17 Reaction score 20 Sep 19, 2022 #1 Nina mpango wa kuanza kufaulisha Ng'ombe Hadi Kenya, nimepata soko lakini naomba kujua bei ya Ng'ombe mwenye uzani hai wa kill >ya 400 ni shilingi ngapi na ninaweza kuwapata wapi. Nitashukuru wadau
Nina mpango wa kuanza kufaulisha Ng'ombe Hadi Kenya, nimepata soko lakini naomba kujua bei ya Ng'ombe mwenye uzani hai wa kill >ya 400 ni shilingi ngapi na ninaweza kuwapata wapi. Nitashukuru wadau
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,868 Sep 19, 2022 #2 Kwan mpango wako umefikia wapi ?
Malchiah JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 1,951 Reaction score 20,673 Sep 20, 2022 #3 Unahitaji kuanzia wangapi? Kama upo serious nicheki.