mkulimasana1
Member
- Dec 29, 2014
- 43
- 13
kibaha sehemu gani??
ukiwekapicha ndo unaloga wanunuaji wanakuja fasta. usiwe kama unauza audio cassete
Yana kuna watu wagumu kuelewa sijapata ona kila siku watu wanawaambia jamani mkiweka matangazo jitahidini na kuweka bei ili kuepusha usumbufu lakini wapi watu vichwa maji hawaelewi hata kidogo.
Haya bwana bata bukini unauzaje na niwa umri gani?
Niliona ni vizuri mhitaji aje kuwaona ndipo majadiliano ya bei yaanze.Naomba utumie namb 0719786521 na 0768069996 kuwasiliana
Ntakutafuta
simu haipatikani
upo hewani? Huogopi kuanguka? Shuka chiniNipo hewani,piga.
ndio wewe huyuupo hewani? Huogopi kuanguka? Shuka chini
hawa bukini wana rangi gani? natafuta weupe peNauza turkeys (Bata mizinga) kanga, na Bukini (Bata misumeno)
No ya shimu 0767 510 436
hawa bukini wana rangi gani? natafuta weupe pe