Leo nimeona watoto street wakipita kupiga vile vingoma vya daku ikanikumbusa long time uswazi tulivipiga kinoma. Nimekumbuka baadhi ya mistari ya enzi hizo......embu cheki....;
Scania, wani wani wani X 2,
Scania, Mwanamboka X 2,
Na huyo kinyago wetu ooh Sada ooh, kucheza amechoka,
Kucheka amechoka ooh Sada ooh, kwa hiyo tunaondoka,
Sada kaolewa kaolewa, Sada kaolewa kaolewa......until fade!