Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,475
mjumbe ilo chuma ni motoAisee
Liko moto hatari,Hawa jamaa wamenipa sababu nyingine ya kutoacha kuwakubali
Kama kawaida ubunifu wao wa hali ya juu unaofanya kuwakimbiza wasanii wengine wa hip hop kwa Trending na Views nchini
Verse ya Stamina imenivutia zaidi Kama kawaida flow zake, vionjo na misemo yake tata imeendelea kutamalaki
Chupa moja kali sana haswa haswa kipande cha roma kiko fresh baridi barafu
Sina Comment yoyote kuhusu , Chorus ambayo kaikamatia Ben Pol
Hawa jamaa Eko[emoji122]
Stamina -- "Kifuani chuchu dede ,mpka sijui ni saa ngapi...Mama umepewa maziwa ili watoto wavulie Samaki"
balaa balaaLiko moto hatari,
hakuna hata mojaNi yupi hapo alisema ameacha muziki? Roma au Stamina?
Weka lyrics zake hapa tufrahi wananzegoHawa jamaa wamenipa sababu nyingine ya kutoacha kuwakubali
Kama kawaida ubunifu wao wa hali ya juu unaofanya kuwakimbiza wasanii wengine wa hip hop kwa Trending na Views nchini
Verse ya Stamina imenivutia zaidi Kama kawaida flow zake, vionjo na misemo yake tata imeendelea kutamalaki
Chupa moja kali sana haswa haswa kipande cha roma kiko fresh baridi barafu
Sina Comment yoyote kuhusu , Chorus ambayo kaikamatia Ben Pol
Hawa jamaa Eko๐
Stamina -- "Kifuani chuchu dede ,mpka sijui ni saa ngapi...Mama umepewa maziwa ili watoto wavulie Samaki"
๐๐๐Weka lyrics zake hapa tufrahi wananzego