Mi huwa nashangaa sana kwa tz kwanini msanii anayeimba vizuri nakutoa music mzuri hawaendi kimataifa,
Bali hawa wanaomba manyimbo hata hayana ladha eti ndio wanaonekana waimbaji wazuri,
Jux ni muimbaji mzuri na nyimbo zake ni nzuri karibu zote na hajaiba beat kama wawengine wanavyo fanya, ila sijui kwanini haendi juu kama wengine, nadhani jamaa anaudai music kwakweli, maana ameutendea haki kabisa toka ameanza kuimba