Mi huwa nashangaa sana kwa tz kwanini msanii anayeimba vizuri nakutoa music mzuri hawaendi kimataifa,
Bali hawa wanaomba manyimbo hata hayana ladha eti ndio wanaonekana waimbaji wazuri,
Jux ni muimbaji mzuri na nyimbo zake ni nzuri karibu zote na hajaiba beat kama wawengine wanavyo fanya, ila sijui kwanini haendi juu kama wengine, nadhani jamaa anaudai music kwakweli, maana ameutendea haki kabisa toka ameanza kuimba
Hivi unadhani huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ndo maana mond ni mjanja anajua kucheza na soko la dunia soko la MarekanI na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaidi
Mi huwa nashangaa sana kwa tz kwanini msanii anayeimba vizuri nakutoa music mzuri hawaendi kimataifa,
Bali hawa wanaomba manyimbo hata hayana ladha eti ndio wanaonekana waimbaji wazuri,
Jux ni muimbaji mzuri na nyimbo zake ni nzuri karibu zote na hajaiba beat kama wawengine wanavyo fanya, ila sijui kwanini haendi juu kama wengine, nadhani jamaa anaudai music kwakweli, maana ameutendea haki kabisa toka ameanza kuimba
Hivi unadhan huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ,,,ndo maana mond n mjanja anajua kucheza na soko la dunia ,,,,,soko la marekan na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaid
Ngoma nzuri sana,ila kwa sasa anayetrend ni bwana NONDO ,kote kakamata yeye na ndio maana Diamond kaenda zake Kenya,ila wasanii wabongo fleva kuna kitu inabidi wakifanye,yaani siasa imeifunika kabisa bongo fleva,yaani video kutrend hata siku tatu youtube tabu.
Hivi unadhan huko mbelee wanajua kiswahili hata uimbe maneno matamu vipi ,,,ndo maana mond n mjanja anajua kucheza na soko la dunia ,,,,,soko la marekan na pande zingine panatakiwa uimbe kwa ubunifuuu zaid
Video nimeiona nzuri ,lkn sijajua yule Waziri kijana wa kike toleo la zamani na BASATA watasemaje manake pale kwenye swimming pool kuna weza kukamponza jux,ila jamaa yupo vizuri ,video na audio zote nzuri