Hakuna droo kwenye hayo mambo! Nayaona macho ya huyo baba yakimtazama mama kwa ukali na midomo ikimchezacheza. Kuna mtu atakula kipigo cha mbwa wa sokoni.Maneno yatakayosemwa kwa ghadhabu kubwa ni:
"Huyo anko ni nani wee mshenzi?"