Ngoja tupime pesa Vs Utu

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,202
Reaction score
2,002
Unatembea na mwenzio,ndugu/jamaa au rafiki,mara paap unaokota Bunda la Noti Tsh. Millioni mbili (2,000,000),Huyo ulieongozana nae utampatia shilingi ngapi?
Binafsi nitagawa equally,kama yeye ndie muokotaji halafu akaleta chenga nitagawa equally kwa Ubabe;Karibuni wadau
 
Kwa kipindi hiki anisamehe , ninapoiona naikanyaga kwa mguu asione najifanya narudi nyuma , mahesabu nyumbani . Hapewi mtu kitu
 
Kwa kipindi hiki anisamehe , ninapoiona naikanyaga kwa mguu asione najifanya narudi nyuma , mahesabu nyumbani . Hapewi mtu kitu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Yupo aliyeokota akamwambie mwenzie hawezi kumpa kwani alikuwa na mipango nazo
 
Mi muungwana tutagawana nusu kwa nusu but lazima tutoe laki 1 1 tupeleke sadaka Bar.tubakiwe na laki 9 9
 
Mawazo ya kimaskini bhana ss hyo m2 anadondosha nani usawa huu? fanya kazi boya ww!
 
Ndoto nzuri hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…