Ngoja droo

cds

Senior Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
144
Reaction score
79
Fact huo ndo ukweli
 

Attachments

  • 1411448480278.jpg
    78 KB · Views: 239
Haaa yaani Mwana siasa halafu mwaminifu, malaya halafu bikra kweli wamekutana wote wako vizuri kwa uongo. ~◇♧
 
Reactions: cds
Haaa yaani Mwana siasa halafu mwaminifu, malaya halafu bikra kweli wamekutana wote wako vizuri kwa uongo. ~◇♧

Kahaba anaweza kuwa mkweli lakini sio Mwanasiasa.

Inawezekana kweli ni bikra hasa kama wateja wake wanaruka UKUTA.
 
Hapo kahaba kamjibu ipasavyo, maana wanasiasa wana maneno sana na huyo dada akaona isiye shida naye kamjibu kama yeye. Hapo ngoma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…