Itakuwa vyema Maana mimi nakwenda pia.. Young Power in the Bunge ndiyo itatupa credits Tanzania 2015
Hata kama sitapata ridhaa ya Chadema kuwania ubunge kwenye jimbo langu, nitafanya harakati kuhakikisha kuwa jimbo ninalotoka na lile ninaloishi hayatawaliwi na CCM. MUNGU nisaidie