Kama kuna kura alipata Uhuru Mombasa na Ukambani ni sababu ya hawa watu. Walikuwa bega kwa bega na Uhuru tangu mwanzo. Hawa ni best loosers lazima wawemo kwenye baraza la Uhuru, watu watake wasitake!!!! Kampeni zote za Uhuru kwenye maeneo hayo zilifana shauri ya uwepo wa hawa watu!!
Watu wanajua timing bwana!!! Pole yake Kalonzo Musyoka alibug steps men!!!