Huyo Ami alituuza South Africa badala ya kutuwakilisha kule! Akauza nchi na akaacha ubalozi na kurudi akiwa na share kila kampuni y south aftica iliyowekeza hapa nchini. Sijui kwa nini hakukumbwa ni ile dhana ya conflict of interest yaani badala ya kuwakilisha nchi unajiwakilisha mwenyewe.Mbona hilo lina fahamika japo sio kiivyo, Ami ana shikilia maslahi ya wakubwa wetu ndio maana wana uhakika wa kuendelea kumiliki kitalu C japo mkataba wao unapaswa kuisha 2012, sasa hivi kampuni imekuja kwa staili ya Richland Resources Ltd. Lakini wananchi tukikomaa na wabunge wetu bila kujali maslahi ya vyama hasa cha magamba hawa jamaa lazima waondoke.
huko arusha katika hotel ya mount meru, yanaitwa gems, jewelry and mineral fair east and southern africa.
Kumbukeni kuwa mwaka 2009 ilipitishwa bungeni kuwa madini yote ya vito yachimbwe na wenyeji na yakatwe inchini.
Madini ya vito ni tanzanite, rubi, sapphire, diamond n.k
bunge liliamua kuwa tanzanite one waondoke mwaka 2013.
Wakati tanzanite one wanaanza kuchimba, ilitokea migogoro mingi sana kama wachimbaji wadogo kupigwa risasi, wafanyakazi kukaguliwa kwa x ray mbaya sana.
Pia iliaminika kuwa tanzanite one ilikuwa na maslahi kwa kigogo fulani ambaye alipewa hotel south africa.
Kwa sheria ya bunge tanzanite one ilitakiwa iondoke mwaka huu na kuachia kitalu c kwa wazawa. Kitalu c ndo kikubwa sana na kina madini mengi
sasa kwa historia hiyo hapo juu, turudi kwenye heading. Imethibitika kuwa mwaka huu kuwa tanzanite one imeuza share kwa wajanja wachache (vigogo) na itaendelea kubaki nchini.
Sitaki kuwaaminisha, kila mtu afanye uchunguzi na habari iwekwe wazi wananchi wajue.
mamaaa subiri nimshtue zitto sasa hv..
Huko Arusha katika Hotel ya Mount meru, yanaitwa Gems, jewelry and Mineral Fair East and southern Africa.
Kumbukeni kuwa mwaka 2009 ilipitishwa bungeni kuwa madini yote ya Vito yachimbwe na wenyeji na yakatwe inchini.
madini ya vito ni Tanzanite, Rubi, Sapphire, Diamond n.k
Bunge liliamua kuwa Tanzanite one waondoke mwaka 2013.
Wakati Tanzanite one wanaanza kuchimba, ilitokea migogoro mingi sana kama wachimbaji wadogo kupigwa risasi, Wafanyakazi kukaguliwa kwa X ray mbaya sana.
Pia iliaminika kuwa Tanzanite One ilikuwa na maslahi kwa Kigogo fulani ambaye alipewa Hotel South Africa.
Kwa sheria ya Bunge Tanzanite One ilitakiwa iondoke mwaka huu na kuachia KITALU C kwa wazawa. Kitalu C ndo kikubwa sana na kina madini mengi
Sasa kwa historia hiyo hapo juu, turudi kwenye heading. Imethibitika kuwa mwaka huu kuwa Tanzanite One imeuza share kwa wajanja wachache (Vigogo) na itaendelea kubaki nchini.
Sitaki kuwaaminisha, kila mtu afanye uchunguzi na habari iwekwe wazi wananchi wajue.