Mh Zitto Ameuliza swali pesa zinazotumika kulipa mafuta mazito na wizara ya nishati na madini ili hali hizo pesa hazikuwa outlined kwenye bajeti ya 2010/2011. Je hii imekaaje, Amelijbu kisiasa kuwa wakutane na zito amupe maelekezo. Je hili bunge letu lipo kwa ajili yetu sisi wananchi au wanasiasa.
Hili ni TATIZO kwa Taifa letu
Majibu yanayohusu takwimu huweza kutolea majibu hapo kwa hapo bila ya kuwa na takwimu sahihi akifanya hivyo ataishia kuambiwa kuwa analidanganya Bunge

Maskini mpambanaji Zitto rushwa imeshamfanya mtu wa kutulizwa pembenni kama alivyo tulizwa kuwekwa katika kamati ya Raisi ya madini ambayo mpaka leo hatujui impact yake ni nini

waandishi wa habari wanafanya nini si wa mkomalie Zitto na Ngereja kwa vipi watapeana majibu nje ya kikao cha bunge
Mh Zitto Ameuliza swali pesa zinazotumika kulipa mafuta mazito na wizara ya nishati na madini ili hali hizo pesa hazikuwa outlined kwenye bajeti ya 2010/2011. Je hii imekaaje, Amelijbu kisiasa kuwa wakutane na zito amupe maelekezo. Je hili bunge letu lipo kwa ajili yetu sisi wananchi au wanasiasa.
Hili ni TATIZO kwa Taifa letu
Mnataka kulikuza na kumchafua mtu kwa jambo ambalo Zitto hana uwezo nalo kanuni hazimruhusu yeye kubishana na spika na hata kama angetaka kumkatalia ngereja maelezo yake angetakiwa anyoshe mkono na apewe nafasi jamani mbona mmunaendeleza chuki kwa huyu mbunge,waandishi wa habari wanafanya nini si wa mkomalie Zitto na Ngereja kwa vipi watapeana majibu nje ya kikao cha bunge
uzuri wake ndo huuu kuwa mawaziri kwa sasa wamekuwa makini zaidi si kulopoka kama makamba!majibu yanayohusu takwimu huweza kutolea majibu hapo kwa hapo bila ya kuwa na takwimu sahihi akifanya hivyo ataishia kuambiwa kuwa analidanganya bunge