Ngedere nawapenda sana

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,271
Reaction score
13,428
Hawa wanyama kwakweli huwa napenda sana kuwaangalia maana wanavijimambo na vituko mbalimbali..
 
Nakweli wana vituko mbalimbali[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nawaonaga kwa wingi pale kwenye ofisi kubwa ya mtaa wa lumumba.....[emoji13] [emoji13]
 
Ni vitata hivyo, hawa jamaa wa lake Duluti Serena Hotel wana vilealea hapa mara wavipe ndizi na matunda mengine , sasa juzi vilikuja hapa hom vikafumua gunia la mahindi yakamwagika na ndizi vikala mgombani [emoji16] [emoji16]
 
Hawa wanyama kwakweli huwa napenda sana kuwaangalia maana wanavijimambo na vituko mbalimbali..
Hivi ngedere ndo hao ho tumbili?
Maana nakumbuka kuna mbungd wa chama fulani aliwahi kuitwa tumbili
 
Hawa wanyama kwakweli huwa napenda sana kuwaangalia maana wanavijimambo na vituko mbalimbali..
Kwanini Ngedele ndio wasimuliaji wa tamthilia za tingatinga?
TEMBELEA @U-TUBE TINGATINGA Tiles, lakini hawana thamani kama alivyo Tembo, Twiga au Simba?
NI NGEDELE PEKEE ANAYEWEZA KUMKENULISHA MBWA BILA YA KUNG'ATWA.
 
Ngedere wanawapenda sana ngedere wenzao si kama sisi binadamu. Nahisi sitakuwa nimenoa nikisema hata wewe mleta mada utakuwa ni ngedere flani hivi. Nimejua tu ulivosema unawapenda ngedere sana. Teh teh.
 
Haina shida mama nmekuelewa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…