Ngazi za mishahara ya watu wa data entry JHPiego

Ngazi za mishahara ya watu wa data entry JHPiego

Makumbusho

Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
23
Reaction score
2
Wakuu habari,

Naomba niulize kama kuna mtu anajua ngazi za mishahara kwa watu wa data entry kwa hawa jhpiego kwani nimeitwa kwenye interview na hicho ni kipengele ni muhimu kukifahamu.
 
Mkuu,nami nimeitwa kwenye interview ijumaa na hao jhpiego,je nani ambaye ameishafanya interview nao kwa kipindi hiki?
 
Back
Top Bottom