Ngasa kutwaa kiatu cha dhahabu Afrika

Hapa nadhani Ngasa amesahaulika kama amecheza michuano hii!! MANJI na jopo lako wakumbusheni basi hao CAF.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante kwa ufafanuzi,so jamaa hatopewa hata buku?

Ila Suarez na ronaldo wote walifungA 31 goals and they shared an award
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa ufafanuzi,so jamaa hatopewa hata buku?

Ila Suarez na ronaldo wote walifungA 31 goals and they shared an award

Siunajua CAF walivyo naupendeleo na timu toka Kaskazini. Sidhani kama Ngasa wetu ataambulia kitu.
 
Sio kweli Mkuu,kisheria mwenye mechi chache ndie anapaswa kupewa hii tuzo pindi wanapofungana,ngoja Malinzi aje atusaidie katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Yani kwa vyovyote vile watafanya juu chini hao wengine wafunge ila asichukue kiatu we subili
 
Yani kwa vyovyote vile watafanya juu chini hao wengine wafunge ila asichukue kiatu we subili

kaka fainali imechezwa tayari na setif ndio bingwa,au ulikuwa unazungumzia mechi gani??
 
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Amelingana kwa goal 6 na wenzake watatu sikui tuzo itakuwa ya nani xaxa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…