Ile timu ambayo inataka kuanzisha ufugaji wa samaki pale kariakoo.sorry, siku hizi bwana mdogo huyu anachezea timu gani?
Mungu aujaalie mradi ufanikiwe, pia na wa shamba la viazi la Bunju; mechi ya watani itamalizikia sahanini - viazi vya Bunju kwa samaki wa Kariakoo!Ile timu ambayo inataka kuanzisha ufugaji wa samaki pale kariakoo.
Mungu aujaalie mradi ufanikiwe, pia na wa shamba la viazi la Bunju; mechi ya watani itamalizikia sahanini - viazi vya Bunju kwa samaki wa Kariakoo!
Kiatu cha dhababu cha kupiga mikasi labda
Video ipi mkuu unaulizia au ile ya wachezaji wa simba wakilawitiwa!!!hivi video haijazinduliwa tu?
sorry, siku hizi bwana mdogo huyu anachezea timu gani?
Ile timu ambayo inataka kuanzisha ufugaji wa samaki pale kariakoo.
we wa wapi?