Kipaji Halisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 2,280 Reaction score 1,364 Mar 14, 2013 #41 saudari said: Sasa kama ngamia wa Preta ananikimbia mimi nifanyaje? Si umeniona imenibidi nijishikie kiuno. View attachment 86868 Click to expand... duh kitu cha ngamia...
saudari said: Sasa kama ngamia wa Preta ananikimbia mimi nifanyaje? Si umeniona imenibidi nijishikie kiuno. View attachment 86868 Click to expand... duh kitu cha ngamia...
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Mar 14, 2013 #42 Kaizer said: Aisee hiyo makitu ya NOAH ni Baaab Kubwa! Click to expand... Hii mikitu kuna watu wanauzoefu nayo kwenye kuifuga, yaani wanacheza nayo kama vile wanacheza na paka.
Kaizer said: Aisee hiyo makitu ya NOAH ni Baaab Kubwa! Click to expand... Hii mikitu kuna watu wanauzoefu nayo kwenye kuifuga, yaani wanacheza nayo kama vile wanacheza na paka.
E erasm. fredrick Member Joined Dec 8, 2013 Posts 5 Reaction score 1 Dec 14, 2013 #43 Karibuni seven up freedom bar kwa wapenda supu tukitoka tukashushie na nyag milestone
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 Dec 15, 2013 #44 saudari said: Mimi ndo niko kwenye maandalizi yangu ya mchana, kikiiva nitawajulisha. cc: Bujibuji, Mr Rocky, sosoliso, Paloma, Preta, Elli, Kaizer, MziziMkavu, Boflo. Click to expand... Naona Mbuzi wa Kikatoliki anachinjwa hapo kasheshe kweli jamani karibuni kwenye mnyama wa taifa.
saudari said: Mimi ndo niko kwenye maandalizi yangu ya mchana, kikiiva nitawajulisha. cc: Bujibuji, Mr Rocky, sosoliso, Paloma, Preta, Elli, Kaizer, MziziMkavu, Boflo. Click to expand... Naona Mbuzi wa Kikatoliki anachinjwa hapo kasheshe kweli jamani karibuni kwenye mnyama wa taifa.