Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,615
- 20,525
Labda mahindi, mtz anaishi vizuri tu bila ngano.Mtanzania ni ngumu sana kumtenganisha na ngano/ wanga.
Asbh usinywe soup na chapati? Andazi na chai?Labda mahindi, mtz anaishi vizuri tu bila ngano.
Hiyo mjini. Asilimia 70 ya watz huku viijini hatujui habari ya chapati. Kipoto cha ugali na mboga.Asbh usinywe soup na chapati? Andazi na chai?
Daily viazi/ mihogo?
Kwa hiyo unamkosoa Mungu aliyeumba mmea wa ngano au watengenezaji wa unga wa ngano akina Bakhresa, MO na Azania?Ngano ni nafaka hatari sana na watz wengi hatutahamu. Tofauti na nafaka zingine kama mahindi, ulezi, mtama na mchele, ngano inaainafulani ya protin inayoitwa Gluten. Protin hii ndiyo hufanya ngano ikikandwa iwe kama banzoka wakati ukikanda unga wa mahindi hauwi namna ile.
Sasa hii protin inaweza kusababisha mzio(allergy/autoimmune reaction) ya hatari sana. Kifupi inaweza sababisha mwili ujishambulie. Maeneo yanayoathirika zaidi ni utumbo mdogo. Hili linaweza sababisha kuharisha bila kukoma, tumbo kujaa gesi, udumavu na afya dhaifu.
Pia inaweza athiri ngozi na mtu kutoka mapele ya kuwasha kama mwenye ugonjwa mkali wa ngozi.
Pia inaweza sababisha matatizo kwenye ubongo na kusababisha mtu atembee kama aliyelewa.
Inasemwa kuwa matatizo haya hutokea hadi kwa asilimia 2 ya watu wote.
Ni vyema tukatumia mikate ya mahindi, ulezi nk. Ngano ni hatari sana.
Mungu katoka wapi tena?Kwa hiyo unamkosoa Mungu aliyeumba mmea wa ngano au watengenezaji wa unga wa ngano akina Bakhresa, MO na Azania?
Muumba wa mimea yote kutia ndani ngano. Kumbe alitupa ngano ina masumu kibaoMungu katoka wapi tena?
Si ngano tu, mimea kibao ina "sumu."Muumba wa mimea yote kutia ndani ngano. Kumbe alitupa ngano ina masumu kibao
Hata nyasi ni mbayaKILA KITU KIBAYA MNATAKA TULE NYASI AU??
Siyo mchele?Mbona wahindi wanapeta na kuzaliana sana wakati chakula Chao kikuu ni ngano
Kijiji gani?Hiyo mjini. Asilimia 70 ya watz huku viijini hatujui habari ya chapati. Kipoto cha ugali na mboga.
No ngano ndio chakula Chao kikubwaSiyo mchele?
Yesu mwenyewe alikula nganoMuumba wa mimea yote kutia ndani ngano. Kumbe alitupa ngano ina masumu kibao