Huwa namshukru mungu sana, ni heri nipige story na mtu anayenuka pombe kuliko mtu anayetoa harufu ya sigara aina zote. Pia hujalitendea haki jukwaa maana ni lazima tuungane kupinga madawa ya kulevya popote pale tulipo

Starehe za watu
Ngada ni taam nzurii huwezi fananisha na ngada.
Korea kaskazini wenyewe wameidhinisha na hatuwafikiii.Unakuta mtu kazi yake kudiss vilevi vya watu lakini yeye mwenyewe maisha ma bayaaaa kila siku ni uvivu kukaa na kuponda serikali hana hata lamuhimu analo fanya.