Mi namtaka Gang Chomba aongee maana juzi alikuwa anatutangazia mechi na kikosi cha AC Milan vs Zenith,ghafla bin vuu mawasiliano yakakatika sa sijui kunani kilitokea au Al Qaeda walifanya v2 vyao,maana anaripoti matokeo ya mechi za AC Milan vikosi hadi mabao sasa sijui hapo Turati Road imekuwaje,sina matokeo ya hiyo mechi naomba anijuze!Hili halina ubishi, hata Ronaldo wa Ukweli hajawahi kupata hii tuzo aliyopewa Neymar - toka 1970 ni yeye na Pele tu ndio wanayo!
Mi namtaka Gang Chomba aongee maana juzi alikuwa anatutangazia mechi na kikosi cha AC Milan vs Zenith,ghafla bin vuu mawasiliano yakakatika sa sijui kunani kilitokea au Al Qaeda walifanya v2 vyao,maana anaripoti matokeo ya mechi za AC Milan vikosi hadi mabao sasa sijui hapo Turati Road imekuwaje,sina matokeo ya hiyo mechi naomba anijuze!
Gutierez sema wewe mwanakwetu ambaye ni mspain...
ningesema mimi ningeambiwa Buluda
mnaoangalia zaidi mechi za south america neymar ameshashinda nini kwenye career yake?
Naona unabishana na kina Ronaldinho wenyewe wanaokiri kuwa hajawahi kutokea dogo mkali kama huyu toka enzi za Pele!
"Neymar has become the first player since Pele to be given the honour of 'hors concours' - Brazilian football's most prestigious award for being 'out of competition'" - Neymar earns Brazil's most prestigious award - ESPN FC
"[Neymar] you are indeed hors concours," Ronaldinho said. "In the language of football, the others are riding bicycles while you are on a motorcycle" - Neymar earns Brazil's most prestigious award - ESPN FC
nipo tayari mkuu
Miaka ya nyuma ulilonga kuwa pale UDSM tayari kuna kamusi za kiswahili zenye terminogies za mambo ya sayansi. Je naweza kupata za hisabati? Kuna vitu nafanyia kazi. Unaweza ukii- inbox .
niliwahi kuziona ila niko mbali na huko, halafu tovuti yao naona ina kwi kwi
Naona unabishana na kina Ronaldinho wenyewe wanaokiri kuwa hajawahi kutokea dogo mkali kama huyu toka enzi za Pele!
"Neymar has become the first player since Pele to be given the honour of 'hors concours' - Brazilian football's most prestigious award for being 'out of competition'" - Neymar earns Brazil's most prestigious award - ESPN FC
hujajibu swali langu.....ronaldo, ronaldinho rivaldo na wengineo wengi wameshashinda champions league, league titles, domestic cups na world cups, pia wameshashinda individual awards kama world player of the year...sasa huyo dogo yeye ameshashinda kitu gani? Pele alikua na medals hakua anafanya kazi ya kanisa uwanjani