Bora hata Samuel Jackson akiingia huyo Snoop itakuwa ni p**sy, son of b*t*h... mwanzo mwisho, japo wanaweza wasitumie hayo maneno lakini hao jamaa character yao itakuwa si nzuri sana kama u gangster haupo...Akiwa Samuel Jackson tutashangaa filamu nzima ni Mo***rf***er mwanzo mwisho 😃
Pia Tyler James Williams naye yupo vizuri! Hawa wazee wataharibu filamu tuBora hata Samuel Jackson akiingia huyo Snoop itakuwa ni p**sy, son of b*t*h... mwanzo mwisho, japo wanaweza wasitumie hayo maneno lakini hao jamaa character yao itakuwa si nzuri sana kama u gangster haupo...
Namuona huyu jamaa atapendezea zaidi...
Yes for sure, atapendezea pia...Pia Tyler James Williams naye yupo vizuri! Hawa wazee wataharibu filamu tu
Samuel Jackson vipi au Machette!?? 😃Number 4, nimemuona kwenye muvi nyingi zinazoelezea umuhimu wa wamarekani weusi na weusi kwa ujumla kupigania haki zao, nahisi ni perfect candidate ukizingatia dhumuni kuu la hiyo muvi ni kuonyesha black race exelence.
Tofauti na hapo wampe Kanye….
Ye himself
Machette napinga, huyo naona ni Latin America kabisa... halafu kazeeka mno.... hatopendeza.Samuel Jackson vipi au Machette!?? 😃
Samuel Jackson vipi au Machette!?? 😃
Kanye West? naona Kanye West akae upande wa uadui kama Erik Killmonger (Michael B Jordan) itapendeza zaidi, kwa maana jamaa huwa ana sura flani very serious..Number 4, nimemuona kwenye muvi nyingi zinazoelezea umuhimu wa wamarekani weusi na weusi kwa ujumla kupigania haki zao, nahisi ni perfect candidate ukizingatia dhumuni kuu la hiyo muvi ni kuonyesha black race exelence.
Tofauti na hapo wampe Kanye….
Ye himself
Hata mama yake Tupac Shakur alikuwa ni member wa black panther...Samuel angewakilisha vizuri ila hafai kuwa lead character sababu ya umri, danny trejo ni mmexico, hatuhusu kabisa
Black panther ni symbol ya umoja wa kusaidiana wa watu weusi, watetezi wa wanyonge. Mwaka jana Walikua na Mkutano wao Arusha pale, very nice people
Nataman umoja huu ungepata Nguvu na influence kama za Freemason au Nazis, huenda Bara la africa lingepata maendeleo kwa Haraka sana
Aisee umeongeza kitu, Jamie Foxx angeua sana.Samuel Jackson kama mkuu wa Avengers hawezi kua Black panther.
Binafsi naamini Jamie Foxx ni candidate mzuri. Pia inaniuma kwamba hatuna actor wa bara la Afrika tunayeweza kumtaja.
Imagine Vincent Kigosi maarufu kama Ray awe character ya Black panther
Huyu s ndo wa LET IT SHINE 2012.Pia Tyler James Williams naye yupo vizuri! Hawa wazee wataharibu filamu tu
Samuel Jackson kama mkuu wa Avengers hawezi kua Black panther.
Binafsi naamini Jamie Foxx ni candidate mzuri. Pia inaniuma kwamba hatuna actor wa bara la Afrika tunayeweza kumtaja.
Imagine Vincent Kigosi maarufu kama Ray awe character ya Black panther