Kamanda Mkuu wa Kikosi Maalumu Cha Urushaji Maroketi Cha Wanamgambo Wa Hamas Auawa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,705
Jeshi la Israel limefanikiwa kumuuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi Maalumu cha Urushaji Maroketi cha Wanamgambo wa Hamas Samah Abed - al- Mamlouk

Kamanda huyo ameuawa pamoja na Makamanda Waandamizi wawili baada ya mashambulizi makali ya Ndege za Kivita za Israel kujibu mapigo kufuatia mashambulizi ya roketi kutoka kwa Wanamgambo wa Hamas waliopo Gaza

Msemaji wa IDF Luteni Kanali Jonathan Conricus amesema wataendelea kufanya mashambulizi dhidi ya Hamas ili kuwaadhibu kwa uvamizi wao

Wanamgambo wa Hamas wamethibitisha kuuawa kwa Viongozi wao

BBC
 
Mbaya sana hii kitu.
Hamas huwa wanajitutumua sana wanaopigana na Israel ingawa kumbukumbu zinaonyesha mara kadhaa huwa wanashindwa na hii si mara ya kwanza.

Juzi walisema wanasimamiwha mapigano kupisha mazishi na sikukuu kumbe jeshi la Israel lilikuwa linakura timing.

👉🏾Wenye dini zenu msituharibie uzi please.
 
Palestine will never defeat Israel... Forever ever.... Mara kadhaa wamejaribu na huwa wanapigwa...

Tangu kipindi cha Yesser Arafat... Na wengineo waliotangulia....
 
Hamas ni kati ya kikosi cha wanamgambo ,duniani ambacho naweza sema vichwa vyao ni maji,wamepigana vita ya kurusha ma roketi,halafu roketi zenyewe shabaha zero,na kipigo wanakipata heavy kutoka israel.wanarusha roketi 20 au 30,Wanapata shabaha ya kujeruhi raia 2.sijui hawa jamaa hawapigagi mahesabu na kufanya evaluation ya vita wanayoiendesha!!?.
 
Jeshi la Israel limefanikiwa kumuuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi Maalumu cha Urushaji Maroketi cha Wanamgambo wa Hamas Samah Abed - al- Mamlouk

Kamanda huyo ameuawa pamoja na Makamanda Waandamizi wawili baada ya mashambulizi makali ya Ndege za Kivita za Israel kujibu mapigo kufuatia mashambulizi ya roketi kutoka kwa Wanamgambo wa Hamas waliopo Gaza

Msemaji wa IDF Luteni Kanali Jonathan Conricus amesema wataendelea kufanya mashambulizi dhidi ya Hamas ili kuwaadhibu kwa uvamizi wao

Wanamgambo wa Hamas wamethibitisha kuuawa kwa Viongozi wao

BBC
Wavaa kobazi kwisha kazi mamaeh!
 
Hamas kimewapata walichokitaka bado Hezbollah. Watapasuliwa mpaka Sharubu zikae sawa!
 
Attachments

  • 184067135_936762007074894_9062001718580048169_n.mp4
    2.9 MB
Hamas ni kati ya kikosi cha wanamgambo ,duniani ambacho naweza sema vichwa vyao ni maji,wamepigana vita ya kurusha ma roketi,halafu roketi zenyewe shabaha zero,na kipigo wanakipata heavy kutoka israel.wanarusha roketi 20 au 30,Wanapata shabaha ya kujeruhi raia 2.sijui hawa jamaa hawapigagi mahesabu na kufanya evaluation ya vita wanayoiendesha!!?.
Hawa Hamas awauwezi mziki wa Israel kwa hizi silaha zao

images (10).jpeg

images (11).jpeg

images (9).jpeg

images (8).jpeg

download (2).jpeg

images (7).jpeg

images (6).jpeg

images (5).jpeg

images (3).jpeg

images (4).jpeg
 
Hamas ni kati ya kikosi cha wanamgambo ,duniani ambacho naweza sema vichwa vyao ni maji,wamepigana vita ya kurusha ma roketi,halafu roketi zenyewe shabaha zero,na kipigo wanakipata heavy kutoka israel.wanarusha roketi 20 au 30,Wanapata shabaha ya kujeruhi raia 2.sijui hawa jamaa hawapigagi mahesabu na kufanya evaluation ya vita wanayoiendesha!!?.
Hamas ni mojawapo ya kikundi cha the so called magaidi chenye akili katika dunia hii. Huwezi linganisha akili na utendaji kazi wa Hamas na wapuuzi kama Al Shabaab au Boko Haram.

Hamas ina technicians, special forces, engineering brigade, intelligence personnel, reservists na wanadiplomasia. Kuna degree za kutosha kule na watu wenye kazi zao, heshima zao na familia. Lile kundi lina Wakristo na Waislamu na wanaheshimiana hawabaguani. Tangu lini ukasikia Hamas imeua Wapalestina? Lengo lao ni kukomboa ardhi yao.

Imagine Kenya itokee uko na makaratasi iseme kupitia makaratasi yao yaliyochapwa na mababu zao miaka 1000 iliyopita inaonesha Tanzania sio nchi na Watanzania wapo kwenye ardhi ya Wakenya iliyotolewa na Mungu kwa Wakenya. Wewe utaenda wapi?

The same situation na Wakurdi. Tena Hamas wana nafuu sana, wale Wakurdi hasa PKK walisema "anayetaka kutuondoa kwenye ardhi yetu kisa mipaka ya wazungu ya kuchora aje tupigane, akitushinda tuko tiyari kuondolewa". Sasa kapigane na watu waliojikataa kama hawa uone. Utajua kwanini US Soviet Union iliondoa jeshi lake Afghanistan miaka ya 1970s na US inaondoka Afghanistan mwaka huu. Hakuna muafaka unafikiwa
 
Hamas wameshazidiwa nguvu tangu mwaka 1947 wanahangaika nini??

Unyumbu wao utawaponza
Ki ukweli hao watu huwa hata siwaelewi kabisa!!inawezekana israeli ni mkorofi lakini ni mwamba, wataanza purukushani watarusha maroketi ambayo kwa israeli madhara ni kidogo sana, ila jamaa anapojibu, wanakufa kweli na mali kuharibiwa, yakishawafika wanatulia kipigo kimewatosha, maisha yanaendelea tena!!
 
Back
Top Bottom