ILA TZ WAALIMU WANATHULUMIWA SANA. Serikali ikikosa pesa, inaenda kuzuia mshahara wa mwalimu. Ona sasa pesa zenu zinagharamikia bunge la katiba. Ikifika kufanya referendum mtalipia lazima. Mwalimu anachukuliwa kama kiumbe dhaifu wakati ndo msingi mkubwa katika kumwondolea mtoto wa mtanzania umbulula na kumtilia maarifa chanya. Poleni waungwana. VUMILIENI. Hiyo ni nchi yenu. Mtakimbia au? Haitosaidia. Subira yavuta heri.