Tecno hadi laki nane au utani?800,000/=
Hiyo ni phantom 5 imetoka juzi tu na haiuzwi 400,000nimenunua 400,000/ muongo huyo
nimenunua 400,000/ muongo huyo
Uhakika mkuu?Platinum mm ninayo lakin sio 5 ....inauzwa laki 3.5 kariakoo
Platinum mm ninayo lakin sio 5 ....inauzwa laki 3.5 kariakoo
Tecno hadi laki nane au utani?
Hiko ndio nachofaham mimihii tecno kariakoo ni sio chini ya 750,000 na mlimani city ni laki tisa