ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Nov 12, 2017 #1 Kama kichwa cha habari kinavyosema. Suzuki swift nauza kwa bei ya million saba na laki tano tu. Karibuni piga namba hiii kwa maelezo zaidi 0718476238
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Suzuki swift nauza kwa bei ya million saba na laki tano tu. Karibuni piga namba hiii kwa maelezo zaidi 0718476238
Baringongo Member Joined Dec 12, 2016 Posts 97 Reaction score 91 Nov 12, 2017 #2 Iko wap hiyo mkuu? Na ina tatizo gani
ribussama Member Joined Dec 11, 2016 Posts 94 Reaction score 42 Nov 12, 2017 Thread starter #3 Baringongo said: Iko wap hiyo mkuu? Na ina tatizo gani Click to expand... Ipo DSM Haina tatizo lolote na unaweza kuja kukagua
Baringongo said: Iko wap hiyo mkuu? Na ina tatizo gani Click to expand... Ipo DSM Haina tatizo lolote na unaweza kuja kukagua
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Nov 12, 2017 #4 ribussama said: Ipo DSM Haina tatizo lolote na unaweza kuja kukagua Click to expand... Imported kutokea wapi??
ribussama said: Ipo DSM Haina tatizo lolote na unaweza kuja kukagua Click to expand... Imported kutokea wapi??
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,717 Nov 12, 2017 #6 New? 0 km?
farusofia JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 539 Reaction score 553 Nov 12, 2017 #7 Waongo tuna tatizo sana, yaani mtu akiuza kitu ni lazima kuwe na tatizo, shubamit
muuza ugoro JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 334 Reaction score 61 Nov 13, 2017 #8 farusofia said: Waongo tuna tatizo sana, yaani mtu akiuza kitu ni lazima kuwe na tatizo, shubamit Click to expand... Kweli tatizo lipo. TATIZO HELA!!!
farusofia said: Waongo tuna tatizo sana, yaani mtu akiuza kitu ni lazima kuwe na tatizo, shubamit Click to expand... Kweli tatizo lipo. TATIZO HELA!!!