Unachotakiwa kujua ni scale kwa bank teller kwenye hiyo bank kwani hakutakuwa na tofauti kubwa kati ya mwenye diploma na degree na infact sasa hivi diploma ni kama zimekwisha vile
Vipi kuhusu HABIB BANK wakuu kwa anaeifaham, upande wa business banking hususan kwa mtu asiyekuwa na experienc (fresh graduate), na pia departments zingine kwa fresh graduates.