Zuma called them "bigamist"!
What Irony, my fear ni kwamba watauawa na vichaa wa ANC.
John McCain.....
Usije kukimbia tu keshokutwa hapa. hey, let's be civil with other people's threads, kuna thread za election for this stuff Uncle Ruckus.
New party forms to challenge ANC
BBC News Online
.................Mr Lekota officially resigned from the party on Friday.
The disaffected ANC members accuse the party of undermining South Africa's young democracy.
The political schism marks a dramatic shake-up in a country where the ANC has dominated political life since the end of white-minority rule in 1994.
The ANC won more than two-thirds of votes in the last election and controls a strong majority in parliament
Unataka civility kwa wakati huo huo unaniita Uncle Ruckus? Vipi mjomba? Leo niko ktk mood nzuri halafu wewe unataka kui-ruin....mwenzako tayari nimeshaanza ku pop bottles....John McCain
Una pop nini mshashi?
Nimeanza na Perrier Jouet.....niko off leo, kesho, na keshokutwa.....
Karibu kwenye party ya Obama, lets make a wager akishinda McCain Nakushoneshea a tailor made suit, your tailor, your swagger, take me to the cleaners.
Akishinda Obama unanishoneshea suit, my tailor, my swagger, I take you to the cleaners.
Deal?
You bet............
Sio "You betcha"?
Whichever one you prefer....same difference. McCain is going to win tomorrow
Same difference or no difference? Are you being our very own Yogi Berra now?
McCain akishinda mi naenda Ufaransa.
I've heard that before from people like Alec Baldwin and other Holyweird celebrities saying if Bush won they were gonna move some place else....
Sina uhakika kama France utaweza ku-flaunt kimguu cha kuku chako...but it will be good riddance....Lol
Ni good message kwa wale wasioridhika na mambo yanavyokwenda ndani ya CCM nadhani mnaonyeshwa mifano ya 'what to do' sio kila siku wanabakia kulalamika kuwa chama kinanuka rushwa au mafisadi/mtandao maslahi wameteka chama.....Move on kama hawa wenzenu au kikwazo ni lile tatizo kubwa la watanzania kutokujiamini kuwa tunaweza?