New os for Mac mountain lion out for developers

New os for Mac mountain lion out for developers

i411

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
906
Reaction score
296
Apple wametoa toleo jingine la version ya operating system ambayo inaleta features za iOS devices (iPhone) to mac
 
Yah naisubiri kwa hamu hiyo OS, wametoa pia upates mpya kwa OS iliyopo, mfano wameongeza feature ya iMessage kwenye Mac. Now, watumiaji wa Mac wana uwezo wa kutuma message kutoka kwenye Macbook kwenda kwa mtumiaji yoyote anayetumia iphone au iOS device. Inakuwa kama some sort of BBM ya Apple
 
Yah naisubiri kwa hamu hiyo OS, wametoa pia upates mpya kwa OS iliyopo, mfano wameongeza feature ya iMessage kwenye Mac. Now, watumiaji wa Mac wana uwezo wa kutuma message kutoka kwenye Macbook kwenda kwa mtumiaji yoyote anayetumia iphone au iOS device. Inakuwa kama some sort of BBM ya Apple​


 
Back
Top Bottom