Dr Michael
Member
- Dec 28, 2014
- 30
- 14
What! ......kwamba wapambanaji watakubaliana na hilo?..siamini.
lowasa atupatie njia za wizi ccm ili tuzibomoe mapema. kupambana na adui unayemfahamu hadi chumbani kwake ni raha sana.kuna uchafu mwingi unakuja juu ya kuupa ushindi CCM
What! ......kwamba wapambanaji watakubaliana na hilo?..siamini.
Hao polisi walivyo mazezeta wanaichagua CCM wakati wao wana maisha magumu hivyo?
hili swala la watumishi wa majeshi yetu kupewa amri ya kukusanya shahada zao za kupigia kura linatoa taswira gani katika uchaguzi huu wa oct2015????
uchaguzi ufanyike kwa haki na usawa na sio haya manyau nyau yanayoanza mapema kama ukishinda ushinde kwa haki na sio ushinde kwa mlango wa nyuma.
kuna uchafu mwingi unakuja juu ya kuupa ushindi CCM
mapolisi ya mafia yamekubali kukusanya kadi
Labda kuna hili hapa, mbali na wajeda kutoruhusiwa kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa, lkn wao kama raia wema la Mama Tanzania, wanaona na kuangalia kila kinachofanyika ktk ardhi hii, hivyo na wao wanachoka kwa manyanyaso na inavoonekana wakubwa wamepata taarifa za wajeda kutaka mabadiriko hivo kupelekea kuwanyang'anya hizo ID.hili swala la watumishi wa majeshi yetu kupewa amri ya kukusanya shahada zao za kupigia kura linatoa taswira gani katika uchaguzi huu wa oct2015????