Wadau, habari zenu?
Nahitaji kununua hizi Rel time Tracker - zinafanya kazi kama inavyoelezwa kwa huku Bongo pia?
Nimeona zingine zinatumika ktk baadhi ya nchi tu, siyo duniani kote (mfano hii hapa: Mini Spy Vehicle Realtime Tracker For GSM GPRS GPS System Tracking Device TK102(US). http://www.amazon.com/Vehicle-Realt...ords=Global+Mini+Tracking+Device+GSM+GPRS+GPS
Nahitaji niagize kama tatu (3) hivi ili niziweke kwenye vigari vyangu - nataka kupunguza uwezekano wa shamba boys kupiga mzigo kubeba mizigo ya watu (kwa kutumia SUZUKI CARRY yangu) kwa kisingizio cha kutafuta nyasi za ng'ombe.