Naitwa Elisia ni new member hapa, nashugulika na maswala ya MC(Master of Ceremonies), mwenye event yoyote iwe harusi, send off, bridal shower, bachelorette parties, semina kindly PM, am fluent in both swahili and english.
Ebu weka namba yako ya sim hapa, kuna jambo la muhimu nataka nikueleze tafadhali....
By the way, karibu sana ingawa unakaribia kutimiza mwaka wa pili hapa JF
Hello jf naitwa Elisia ni new member hapa, nashugulika na maswala ya mc(master of ceremonies),mwenye event yoyote iwe harusi,send off,bridal shower,bachelorette parties,semina kindly pm,am fluent in both swahili and english .Asanteni sana