johnsonmgaya JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 2,818 Reaction score 3,731 Feb 27, 2017 #41 TheMason said: nitakuwa nn Click to expand... Nikukumbushe tu hili ni jukwaa la GTs, hata handwriting yako inawezesha kukufahamu, karibu tena
TheMason said: nitakuwa nn Click to expand... Nikukumbushe tu hili ni jukwaa la GTs, hata handwriting yako inawezesha kukufahamu, karibu tena
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,747 Feb 27, 2017 Thread starter #42 johnsonmgaya said: Nikukumbushe tu hili ni jukwaa la GTs, hata handwriting yako inawezesha kukufahamu, karibu tena Click to expand... hahaa poaa mkalii Nakutakia Bahat Njema
johnsonmgaya said: Nikukumbushe tu hili ni jukwaa la GTs, hata handwriting yako inawezesha kukufahamu, karibu tena Click to expand... hahaa poaa mkalii Nakutakia Bahat Njema
valangati 131 Member Joined Feb 27, 2017 Posts 8 Reaction score 2 Feb 27, 2017 #43 Mimi mwanachama mpya naomba mnipokee
valangati 131 Member Joined Feb 27, 2017 Posts 8 Reaction score 2 Feb 27, 2017 #44 Ahsante sana mkuu kwa kunitakia bahati njema tupo pa 1
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Feb 27, 2017 #45 TheMason said: hahaaa...ahsante kaka kwa kunijulisha afu vp kwan umeelewa nn kuhusu TheMason au umeelewaje Click to expand... TheMason said: hahaaaa mimii au Click to expand... TheMason said: swali gani boss Click to expand... TheMason said: Ndio nmeamua kua mfuasi wa JF Click to expand... Mkuu kwa hizi comments zako ulizotoa kama majibu ya maswali uliyoulizwa basi humu utapaweza. Bila shaka na wewe utakuwa ni muumini wa ile socratic au maiuetic method.
TheMason said: hahaaa...ahsante kaka kwa kunijulisha afu vp kwan umeelewa nn kuhusu TheMason au umeelewaje Click to expand... TheMason said: hahaaaa mimii au Click to expand... TheMason said: swali gani boss Click to expand... TheMason said: Ndio nmeamua kua mfuasi wa JF Click to expand... Mkuu kwa hizi comments zako ulizotoa kama majibu ya maswali uliyoulizwa basi humu utapaweza. Bila shaka na wewe utakuwa ni muumini wa ile socratic au maiuetic method.
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,747 Feb 27, 2017 Thread starter #46 Lizarazu said: Mkuu kwa hizi comments zako ulizotoa kama majibu ya maswali uliyoulizwa basi humu utapaweza. Bila shaka na wewe utakuwa ni muumini wa ile socratic au maiuetic method. Click to expand... umemaanisha nn mkuu hahaa
Lizarazu said: Mkuu kwa hizi comments zako ulizotoa kama majibu ya maswali uliyoulizwa basi humu utapaweza. Bila shaka na wewe utakuwa ni muumini wa ile socratic au maiuetic method. Click to expand... umemaanisha nn mkuu hahaa
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Feb 27, 2017 #47 TheMason said: umemaanisha nn mkuu hahaa Click to expand... Kwani hujanielewa wapi mkuu?
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,747 Feb 27, 2017 Thread starter #48 Lizarazu said: Kwani hujanielewa wapi mkuu? Click to expand... kwa jinsi maswali haya ulivyoyajibu basi umu utapaweza
Lizarazu said: Kwani hujanielewa wapi mkuu? Click to expand... kwa jinsi maswali haya ulivyoyajibu basi umu utapaweza
mmbangaya JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 997 Reaction score 1,765 Feb 27, 2017 #49 Welcome to our Lodge. Iam the Master here
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Feb 27, 2017 #50 TheMason said: kwa jinsi maswali haya ulivyoyajibu basi umu utapaweza Click to expand... Style yako ya kujibu maswali ndio inayotumika sana humu kwenye mijadala.
TheMason said: kwa jinsi maswali haya ulivyoyajibu basi umu utapaweza Click to expand... Style yako ya kujibu maswali ndio inayotumika sana humu kwenye mijadala.
Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,315 Reaction score 8,747 Feb 27, 2017 Thread starter #51 Lizarazu said: Style yako ya kujibu maswali ndio inayotumika sana humu kwenye mijadala. Click to expand... hahaa usiwazee kijana wangu
Lizarazu said: Style yako ya kujibu maswali ndio inayotumika sana humu kwenye mijadala. Click to expand... hahaa usiwazee kijana wangu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Mar 7, 2017 #52 Krb sana JF...........
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,885 Reaction score 42,001 Mar 8, 2017 #53 Karibu kenzo nilikuweka sekta hii mbon sikuoni ukipokea wagen
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Mar 8, 2017 #54 ukiitwa na daudi, kataa!
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,659 Mar 8, 2017 #55 Taja kwanza mbunge wako
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,061 Mar 8, 2017 #56 Bonesmen said: Wewe sio new member sema una ID mpya, Btw Karibu Click to expand... kwa majibu yake ni wa siku zote leo kajibadili tu
Bonesmen said: Wewe sio new member sema una ID mpya, Btw Karibu Click to expand... kwa majibu yake ni wa siku zote leo kajibadili tu