kengeledoi
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 325
- 230
habari zenu, jamani me ni mgeni huku naomba mnipokee.
Karibu. Uliyoyakuta, unayoyaona na utakayoyaona yachangie kwa hoja za busara
Pili si kila jambo lazima uchangie hoja
Pima taarifa zako na utakazozikuta kama ni za kweli
Karibu
habari zenu, jamani me ni mgeni huku naomba mnipokee.
Karibu!!chakii nimekuja kwa miguu