2.6m????job true true.Nauza hii laptop sh 2.6 milion za kitanzania ni mpya.
Mawasiliano piga simu no 0713943995
2.6 m unashangaa unaijua hiyo Laptop?
hakuna laptop kwakipindi hiki yenye uwezo kama hii. ndo laptop ambayo ipo kwenye juu ya laptop zotee.
Umetia chumvi mno mkuu!
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kw amatumizi gani Mkuu.......lakini kwa brand ya Mac....hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......
Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini?
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kwa matumizi gani Mkuu....... lakini kwa brand ya Mac hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......
Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini?
2.6 m unashangaa unaijua hiyo Laptop?
hakuna laptop kwakipindi hiki yenye uwezo kama hii. ndo laptop ambayo ipo kwenye juu ya laptop zotee.
Umetia chumvi mno mkuu!
............kwi kwi kwi.........hapana mkuu inategemea unataka kuitumia kwa matumizi gani Mkuu....... lakini kwa brand ya Mac hiyo mashine na hizo specs zake iko juu mazee..........na ninafikiri bei pia aliyoitoa ni reasonable.......
Wee Mkuu Lazy najua ni mkali wa haya mambo je we ni mtu wa ASUS nini?
Naomba nikiri kosa, comment yangu niliitoa kwa kudhani ThinkPad anazungumzia bei; kwani yeye anazungumzia uwezo wa mashine.
We hope to hear more from you ThinkPad kuhusu uwezo wa hicho kifaa. Graphic designers mate yanawatoka wakiona hiyo picha 😉
Unafanya vyema kuuza vitu vipya. Kuna watu wanakusanya used computer USA wanasafirisha kuleta bongo wakati (USA) kuna vifaa vipya kwa bei poa sana; wangenunua badala yake.
Ni ufahamu mdogo tu wa wauzaji pamoja na watumiaji, kwani bongo mahitaji ya computer for heavy professionals yapo.Utakuta mtu analalamika computer ni slow (kwa kazi zake) japo ni mpya, asijue kwamba anatumia computer isiyo na uwezo wa kutosha.
leta moja huku
Thread ya mwaka 2009 hii!!!
:A S embarassed::shock::nerd::lol::lol: